👉6.7 inch diaplay
👉Imetengenezwa na kioo mbele ya simu na nyuma (gorilla glass victus) with aluminum flame
👉 Ina support Nano-Sim pamoja na E-Sim
👉 Ni IP68 water/dust resistant
👉 Android 12 and unaweza ku upgrade mpka 14
👉Triple camera ambazo ni 50MP main camera, 48MP telephoto, 12MP ultrawide with 4x optical zoom.
👉Uwezo wa kuchukua video mpka 4K with 60fps
✅ 12GB RAM
✅ 128GB storage
✅ 11MP Selfie camera
✅ Fingerprint
✅ Battery capacity 5003mAh