👉6.1 inch diaplay
👉Imetengenezwa na kioo mbele ya simu na nyuma (corning-made glass) ambayo imeongezwa ubora na kuwa ceramic shield glass
👉 Inatumia nano SIM and eSiM
🔥 IP68 dust/water resistant
👉Double camera ambazo zote ni 12MP
👉Uwezo wa kuchukua video mpka 4K with 60fps
✅ 12MP Selfie camera
✅ Face ID
✅ Battery capacity 3240mAh
✅ RAM 4gb