ZINJA MAG Power bank inafanya kazi kwenye cm zote zenye uwezo wa wireless charge ila upande wa Sumaku ya nyuma ni lazima simu au cover ya simu iwe ina Sumaku pia (magnet) nyuma mafano iPhone 12 mpaka 15 apple wameweka sumaku ndani ya simu hivyo hainahaja ya kuvalisha kava ili Magsafe iweze kunasa, ila simu zingine kuanzia iphone 8 mpaka iphone 11 zinauwezo wa Wireless Charge lakini haiwezi kunasa nyuma kwasababu hakuna sumaku. Iko hivyo pia kwenye simu zingine za Android lazima kutu mpaka uweke cover ya sumaku ndo itadaka ivo,
Ingawa tuna baadhi ya simu mfano samsung s21 mpka s23 tunazo cover zake za sumaku pamoja na pixel baadhi. bila kusahau inaweza kuchaji simu zote kupitia waya wa type C ambayo pia ni fast charge 20w