Chips kavu
Kachumbari, pilipili, tomato, pilipili,limao
TSh 1,500.00
Chips mayai
Chips mayai yenye mchanganyiko wa vitunguu, karoti, hoho, pilau maswala
TSh 2,500.00
Kuku mzima (kisasa)
Kuku mtamu mwenye kila Aina ya viungo vya nyama. Naweza kuliwa na watu watatu. NB: kwa Sasa package hii unatakiwa kuweka order kabla ya saa 5 ya muda wako wa kula chakula hiki.
TSh 18,000.00
YAI tambi (spaghetti omillette)
Mchanganyiko wa mayai, tambi, na viungo mbali mbali vya mbogamboga. NB: Hiki chakula kinaweza kuliwa na watu 3, kwa derivery kitafika ndani ya saa 1au pungufu.
TSh 5,000.00
Full breakfast
Katika package hii Kuna slace 2 za mkate, mandazi 2,chapati 1,chai ya rangi na yai.. NB: kwa derivery Utasubiri ndani ya dk 15
TSh 2,000.00
Soup (nyama ya ng'ombe)
Soup yenye mchanyiko wa viungo mbalimbali vya mboga, Ndizi na chapati 3 NB: soup inapatikana kuanza muda wa saa 12 asubuhi mpaka saa tano asubuhi. Ukiagiza hii soup utaipokea baada ya dakika 10
TSh 2,500.00
Lunch package
Ugali, nyama (ya kukaanga), kachumbari, matunda na maji. NB: order ya chakula hiki itakamilika katika mudwa dk 15
TSh 5,000.00
Nyama choma (ya ng'ombe)
Viambatanisho vya nyama ni kachumbari +llllao. NB: ukiagiza chakula hiki order yako utakamilika ndani ya dakika 30.
TSh 5,000.00
Mishikaki 10
Utapata na kinywaji (soda au maji) Kachumbari pia haikosekani
TSh 6,000.00
Ndizi za kukaanga (3)
Kachumbari + maji
TSh 4,000.00
Lunch package (2)
Wali nyama, Dagaa, maharage, matunda, maji na kachmbari
TSh 5,000.00
Coconut omillette/onion
Chakula hiki kina radha nzuri kwa mchanganyiko wa mayai, nazi, vitunguu na matunda Aina ya avocado
TSh 4,000.00