Mic nzuri saana kama unafanya content za tiktok, au matangazo ya biashara zako.
Ina techniques zifuatazo
➡️ Noise consolation (inatoa kerere zote)
➡️ inashika hadi umbali wa miter 20
➡️ inatumika kwenye simu zote type C na Iphone.
➡️ inakaa na chaji muda mrefu