Hizi ni Universal armrest nzuri saana za kuwekea mkono ukiwa unaendesha ili kuwa comfortable zaidi.
Unafunga kwenye gari yoyote ambayo haina armrest (IST, VITS, RAUM, LUMION, LAV 4, SUCCEED.) Na nyingine nyungi tu
Ina storage za kutosha, sehemu za kuchaji simu ziko 6 (nyuma 4 na mbele 2),
Zimebaki 4 tu na bei imeshuka hadi Tsh 100,000 Tu.
Free Delivery & installation kwa wateja wote wa DSM
Piga simu au WhatsApp 0677 890 890
Nakuletea na kufunga buree