Custom PC Rental (Studio)
Huku kukiwa na Rental house nyingi zinazokodisha Cinema Camera kama RED na Arri Alexa. Kumetokea uhaba wa Computer zenye uwezo mkubwa wa ku edit na kurender bila kusahau ku-export video hizi. Hivyo Tunakukaribisha Envision. Unaweza kuexport video ndani ya lisaa tu