SABABU YA KWELI KWA NINI “APPLE CIDER VINEGAR” HUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO:

SABABU YA KWELI KWA NINI “APPLE CIDER VINEGAR” HUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO:

TSh 1,000.00

TSh 1,500.00

(estimated)

Kunywa kinywaji hiki kabla ya kula, mara tatu kwa siku.
Husaidia kuongeza tindikali tumboni, kuchochea tezi ya thyroid, na hivyo kuharakisha kasi ya kuchoma mafuta mwilini. Apple cider vinegar si muujiza wa kupunguza uzito moja kwa moja, bali ni msaada wa kibiolojia unaosaidia mwili kufanya kazi kwa usawa, Kwa kurekebisha pH ya mwili, inasaidia: