Smart Bulb Wifi Camera
SIFA ZA SMART BULB CAMERA:
- Inazunguka nyuzi 360⁰ kwa 180⁰.
- Inarecord Sauti na Video
- Ina 3MP, 1080HD.
- Full Color Mchana/Usiku.
- Inatumia Memory card
- Inatumia Umeme wa Kawaida Kama Bulb za Kawaida.
- Ina Motion Sensor detection.
- Ina Taa Unaweza Kuwasha au Kuzizima Kwa kutumia App yake.
Bei yake ni: 120,000 Tsh.
SPECIAL OFFER!
1. Unapewa na Memory Card 32GB!.
2. Warrany 1 Year!
3. Free Technical Support.!
Ready to Go...