TESTIMONIALS 👇
image

for BRAND BUILDERS only

My name is Fadhili Kikwakala, SOCIAL MEDIA STRATEGIST, I help Business owners, Politicians, Rising Footballers and Everyone how to get SEEN, HEARD & UNDERSTOOD through a comprehensive CUSTOM INSTAGRAM STRATEGY coming in PDF format.

The strategy will cover all aspects required to grow your business or personal brand specifically and customized for you.

Because you cannot grow while following hacks, tricks and tips which are general to everyone not related to your business.

The document will be implemented by you or your team with my full support.

Explore my services below

CUSTOM INSTAGRAM STRATEGY

GROWTH • ENGAGEMENT • SALES ❌ Kama unatamani kutumia Instagram kutangaza bidhaa au huduma zako lakini hujui uanzie wapi. ❌ Kama unajituma kutengeneza contents na kupost mara kwa mara na huoni matokeo. Solution ✅ Ili kupata matokeo sio kupost mara kwa mara ni kujua kutumia Instagram Strategically Matokeo hayawezi kuja kwa kufuata Tips, Tricks , Hacks yanakuja kwa kua na mkakati bora wenye Marketing Strategy, Content Strategy na Sales Strategy. Hivyo natambulisha kwako CUSTOM INSTAGRAM STRATEGY ambayo ni mkakati nitakaokutengenezea maalumu kwaajili ya biashara yako. 1. STRATEGIC DOCUMENT (PDF) Itahusisha ➡️ Brand identity (Brand color, Brand slogan, Tone of voice) ➡️ Customer Personas ➡️ Target Audiences ➡️ Key Competitors Analysis (Weakness, Strength, Content Strategy & Engagement Strategy) ➡️ Customer Centric Content Strategies (Content Pillars, Marketing & Sales funnel, Content Ideas) ➡️ Profile Audit ➡️ Engagement Strategy (Engagement na Posts, Followers & Community Building) ➡️ Visibility Strategy (Keywords, Profile Optimisation, Hashtags, Collaboration) 2. SUPPORT Baada ya kupokea document nitakuwepo na ntawajibika kutoa support muda wowote. Baada ya kufanya application nitakupigia simu au kuonana live ili kupata taarifa za biashara ili kufanyia utafiti wa kina. 3. DELIVERY TIME Kila mwezi nafanya kazi na watu wanna (4) tu. November Application is Open nafasi imebaki moja (1). Mkakati upaupata kwa PDF ndani ya siku 7. 4. YASIYOHUSIKA Mkakati hautahusisha Social Media Management wala Content Creation, yaliyosema ndani ya Document yatatekelezwa na wewe au wewe na team yako. ©ONLINEFAD 2024 FADWASHERE.

TSh 300,000.00

TSh 400,000.00

CUSTOM INSTAGRAM STRATEGY