Join our WhatsApp group
image
image
Borausafi – Tunalinda Usafi Wako!
Tunauza plastic dustbins zenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya nyumbani, ofisini na maeneo ya biashara. Bidhaa zetu ni imara, zinazodumu, na zina muonekano mzuri unaoendana na heshima ya mazingira yako.

Kwa Borausafi, tunasisitiza usafi, afya, na ustaarabu wa makazi ya Kisasa. Chagua dustbin bora leo – kwa sababu mazingira safi huanza na chombo sahihi cha kutunza taka.

Follow and stay updated

Be the first to know about new menu items, product drops, and exclusive promotions. Follow for early access to what's coming next.