Reviews
Mamlaka Ya Hifadhi Ya Ngorongoro
Β· 19 hours ago
Nimepokea dustbins za nje 360L (3pcs) nilizonunua online na ziko bora sana. Ni imara, kubwa, na rahisi kusogeza. Zilifika vizuri bila uharibifu. Nimeridhika na ununuzi wangu 100%.
1 review
TShΒ 47,000.00
Quantity