Vinyago vya Twiga (Handcrafted Wooden Giraffes)

Vinyago vya Twiga (Handcrafted Wooden Giraffes)

TSh 35,000.00

Kinyago cha Twiga (Hand-Carved Wooden Giraffe)

"Ongeza nakshi ya asili ya Afrika nyumbani kwako kwa kinyago hiki cha twiga kilichochongwa kwa mikono na mafundi stadi. Kimeundwa kwa mti imara (kama Mpingo au Mninga), kikionyesha urefu na madaha ya mnyama huyu wa kipekee. Kinafaa kama pambo la sebuleni, ofisini, au kama zawadi ya kukumbukwa."

Nyenzo: Mti asilia (Ebony/Rosewood/Mahogany).

Kazi: Kimechongwa na kupigwa msasa (polished) kwa umakini.

Asili: Sanaa ya mikono kutoka Tanzania.
SKU: T-MP-F1
1 left