Jiunge nasi group la WhatsApp
SPIRULINA POWDER
SPIRULINA POWDER

SPIRULINA POWDER

TShย 170,000.00

TShย 190,000.00

Spirulina Powder 300g
Nguvu ya Lishe Asilia kwa Afya Imara
Spirulina ni superfood yenye virutubisho vingi muhimu kwa mwili. BioLife Spirulina Powder imeandaliwa kwa ubora wa hali ya juu, bila sukari wala ladha bandia โ€“ safi kabisa kwa matumizi ya kila siku.

๐Ÿ’ช Faida Kuu za Spirulina
โœ… Husaidia kuongeza kinga ya mwili
โœ… Huchangia kuimarisha damu (rich in iron & protein)
โœ… Husaidia kuongeza nguvu na kupunguza uchovu
โœ… Huchangia detox ya mwili kwa asili
โœ… Husaidia kuboresha afya ya ngozi na mwonekano

Inasaidia Maradhi mbalimbali kama-
๐Ÿ’š Sukari ( Pima kabla na baada ya kutumia)
๐Ÿ’š Ukosefu wa virutubisho
๐Ÿ’š Upungufu wa Damu na sickle cell
๐Ÿ’š Magonjwa ya Ini
๐Ÿ’š Magonjwa ya Viungo

Ndio kirutubusho kinacho aminika Kuwa na virutubisho yote.
Kilitumika Kwa safari za anga za Mwanzoni kabisa na wana anga wa Marekani NASA.

๐Ÿฅ„ Jinsi ya Kutumia
Changanya kijiko kidogo (kama gramu 3โ€“5) kwenye:
โ€ข Maji
โ€ข Juisi
โ€ข Smoothie
โ€ข Uji au mtindi

Tumia mara 1โ€“2 kwa siku kulingana na mahitaji yako.

๐Ÿ“ฆ Kifurushi
โ€ข Uzito: 300g
โ€ข Hakina sukari
โ€ข Hakina ladha bandia
โ€ข Ubora wa juu wa BioLife

Afya ni uwekezaji โ€” anza leo kujali mwili wako kwa njia ya asili ๐Ÿ’š