Waist Slimming Patches ni kiraka maalum kinachowekwa kwenye maeneo ya pembeni ya tumbo (love handles) ili kusaidia kuboresha mwonekano wa kiuno kwa kupunguza nyama uzembe na kuleta shape ya kiuno kuwa nyembamba zaidi.
Patches hizi hutumia mchanganyiko wa mimea ya asili pamoja na teknolojia ya heat-infusion ili kusaidia kuchochea joto la ndani kwenye eneo linalowekwa, jambo linalosaidia kuchoma mafuta ya eneo husika na kuimarisha elasticity ya ngozi.
Jinsi Zinavyofanya Kazi
• Huchochea joto la ndani linalosaidia kuchoma mafuta (thermogenic effect)
• Husaidia kupunguza kuonekana kwa nyama uzembe sehemu za pembeni ya tumbo
• Husaidia kuboresha shape ya kiuno
• Hufanya kazi usiku wakati wa kulala bila usumbufu
• Hutoa matokeo hatua kwa hatua kulingana na mwili wa mtumiaji
Namna ya Kutumia
Safisha na kausha eneo la pembeni ya tumbo
Bandika patch upande wa kushoto na upande wa kulia
Achia patches kwa masaa 6 hadi 10 (hasa usiku)
Asubuhi toa na endelea na shughuli zako
Wengi huripoti kuona tofauti mara tu baada ya kutoa kutokana na kupungua kwa retention ya maji na tightening ya ngozi kwenye eneo lililotibiwa.
Inafaa Kwa Nani
• Watu wenye nyama uzembe pembeni ya tumbo
• Wanaotaka kuboresha shape ya kiuno
• Wanaopata retention eneo la tumbo
• Wanaopendelea njia zisizo na maumivu au sindano
• Wanaotaka matokeo bila kuvaa corsets muda wote
Maeneo ya Matumizi
• Pembeni ya tumbo (love handles)
• Kiuno
• Lower abdomen (kwa baadhi ya watumiaji)
Faida za Ziada
• Haitumii sindano
• Haina maumivu
• Hutumika usiku wakati wa kulala
• Haizuii kufanya shughuli za siku