AMERICAN GINSENG SOFTGELS β 100 Softgels
Maelezo ya Bidhaa
American Ginseng ni mmea maarufu katika tiba asilia unaojulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kusaidia mwili kupambana na uchovu, kuongeza umakini, kuboresha kinga na kusaidia mwili kujirekebisha kutokana na msongo, uchovu wa akili na magonjwa yanayoharibu nguvu za mwili. BioLife American Ginseng Softgels hutengenezwa kwa kiwango cha juu na hupatikana katika mfumo wa softgel ili kuongeza ufyonzwaji mwilini.
Faida za American Ginseng
Utafiti wa kisasa na tiba za jadi zimeonyesha kuwa American Ginseng unaweza kusaidia katika mambo yafuatayo:
β Kuongeza Kinga ya Mwili (Immunity)
Husaidia kuongeza shughuli za seli za kinga zinazohusika na kupambana na vijidudu na maambukizi. Hii ni muhimu kwa watu wenye kinga dhaifu, wanaopona baada ya magonjwa, au walio na CD4 chini.
β Kusaidia CD4 na Kinga kwa Wagonjwa Fulani
Tafiti zimeonyesha ginseng kuwa na athari chanya kwenye modulation ya immunity, jambo linaloweza kusaidia watu wanaopitia changamoto za kinga za mwili, ikiwemo wale wenye upungufu wa CD4 au uchovu unaohusiana na kinga.
β Kupunguza Uvimbe (Anti-inflammatory)
American Ginseng ina ginsenosides zinazojulikana kupunguza uvimbe wa ndani ya mwili, jambo muhimu kwa afya ya viungo, moyo, mfumo wa kinga na mwili kwa ujumla.
β Athari Dhidi ya Saratani (Anti-tumor Support)
Ingawa sio tiba ya saratani, tafiti nyingi zimeona kuwa ginseng ina uwezo wa:
β kupunguza uvimbe unaohusiana na saratani
β kusaidia mwili kupambana na oxidative stress
β kusaidia wagonjwa walioko kwenye matibabu (mf. chemotherapy) kwa kupunguza uchovu na kuimarisha nguvu za mwili
β Kuongeza Nguvu na Uwezo wa Akili
Husaidia kuboresha kumbukumbu, concentration na alertness kwa wanafunzi, wafanyakazi na watu wanaotumia akili sana.
β Kupambana na Uchovu wa Mwili na Akili (Chronic Fatigue)
Ni moja ya faida kuu zinazofanya American ginseng kutumika sana kwa wagonjwa wa saratani, watu wenye kinga chini, wagonjwa waliopona kutoka magonjwa makubwa n.k.
β Kusaidia Kiwango cha Sukari
Husaidia matumizi ya sukari mwilini kwa ufanisi na kusaidia watu wenye viwango vya sukari vinavyoharibika kwa mda mrefu.
-Inafaa Kwa Watu Gani?_
American Ginseng ni muhimu zaidi kwa:
β Watu wenye kinga ya mwili iliyo chini
β Watu wenye CD4 chini au changamoto za kinga
β Wenye uchovu wa mwili unaodumu (chronic fatigue)
β Wagonjwa wanaopona baada ya magonjwa sugu
β Wanaopitia stress ya mwili au akili
β Wanafunzi na wafanyakazi wanaotumia akili sana
β Wagonjwa wa saratani walioko kwenye matibabu (kwa support)
β Watu wenye uvimbe wa ndani ya mwili (systemic inflammation)
β Wenye sukari isiyotulia
β Wazee wanaotaka kuboresha nguvu na kinga
Uhusiano na Uvimbe na Saratani
Kwa mujibu wa uchunguzi wa kisayansi:
Uvimbe (Inflammation)
Ni chanzo cha magonjwa mengi ya kisasa kama saratani, kisukari, magonjwa ya moyo na magonjwa ya kinga. Ginseng husaidia kupunguza markers za uvimbe kama TNF-Ξ± na IL-6, ambazo huongezeka sana kwa watu wenye magonjwa ya kinga na saratani.
Saratani
American ginseng huonyesha uwezo wa:
β kuongeza quality of life kwa wagonjwa
β kupunguza uchovu unaosababishwa na chemotherapy
β kusaidia kinga kutambua seli zilizoharibika
Hii haimaanishi kuwa ni tiba ya saratani, bali ni support muhimu ya kinga na mwili.
Jinsi Inavyofanya Kazi kwenye Kinga (Immunity & CD4)
American ginseng huchochea:
β Natural killer cells
β Macrophages
β T-cells (ikiwemo CD4)
β Antioxidant defense
Hii inasaidia mwili kupambana na:
β maambukizi
β uvimbe
β oxidative stress
β uchovu wa kinga
Muundo na Ubora
β’ 100 Softgels
β’ Kiwango cha juu cha ginsenosides
β’ High bioavailability (ufyonzwaji mzuri)
β’ GMP standard