Jiunge nasi group la WhatsApp
Jiunge nasi group la WhatsApp
image
SCAR GEL
SCAR GEL
SCAR GEL
SCAR GEL
SCAR GEL
SCAR GEL
SCAR GEL
SCAR GEL

SCAR GEL

TShย 25,000.00

TShย 45,000.00

GELI YA KUONDOA MAKOVU (ADVANCED SCAR GEL)

Advanced Scar Gel ni geli maalum iliyotengenezwa kusaidia kupunguza na kufifisha makovu ya aina mbalimbali, huku ikisaidia ngozi kujirudisha upya, kuwa laini na yenye mwonekano mzuri zaidi.

๐Ÿ”น Maelezo ya Bidhaa
Jina la Bidhaa: Gel ya Kuondoa Makovu
Kiasi: 50ml
Muda wa matumizi (Shelf life): Miaka 3
Njia ya Hifadhi: Hifadhi sehemu yenye baridi, kavu na isiyo na mwanga wa jua
Aina ya Ngozi: Inafaa kwa aina zote za ngozi, hata ngozi nyeti

๐ŸŒฟ Viambato Muhimu
Retinol 1% โ€“ Huchochea uzalishaji wa seli mpya za ngozi na kusaidia kufifisha makovu
Allantoin 1% โ€“ Hutuliza ngozi, hupunguza muwasho na kusaidia uponyaji wa ngozi

โœ… Faida Kuu za Advanced Scar Gel
โœ” Husaidia kupunguza mwonekano wa makovu mapya na ya zamani
โœ” Hufaa kwa:
Makovu ya upasuaji
Makovu ya chunusi (acne)
Makovu ya kuungua
Alama za michubuko na mikato
Alama za kunyoosha ngozi (stretch marks / pregnancy striae)
โœ” Husaidia:
Kulainisha ngozi
Kuongeza unyevu (hydration)
Kusawazisha rangi ya ngozi
Kuchochea uzalishaji wa collagen
Kurudisha ngozi katika hali yake ya asili na laini
โœ” Mfumo wake ni mwepesi, hauleti mafuta, na hufyonzwa haraka na ngozi

๐Ÿ•’ Muda wa Kuona Matokeo
Makovu mapya: Takribani wiki 8
Makovu ya zamani: Miezi 3โ€“6 (kutegemea na aina ya ngozi na ukubwa wa kovu)
Wengi wao uanza kuona utofauti kuanzia week ya kwanza

๐Ÿงด Jinsi ya Kutumia
1. Safisha ngozi eneo lenye kovu hadi liwe safi na kavu
2. Paka kiasi kinachofaa cha gel juu ya kovu
3. Masaji taratibu kwa mzunguko wa duara kwa dakika 2โ€“3 hadi ifyonzwe
Tumia mara mbili kwa siku (asubuhi na jioni) kwa angalau siku 28
Ukipaka wakati wa mchana, tumia sunscreen kulinda ngozi dhidi ya jua

โš ๏ธ Tahadhari
Matokeo hutofautiana kati ya mtu na mtu
Tumia mara kwa mara kwa matokeo bora
Epuka kupaka kwenye jeraha lililo wazi
๐Ÿ“ฆ Kilichopo Kwenye Kifurushi
Chupa 1 ya Gel ya Kuondoa Makovu (50ml)