Jiunge nasi group la WhatsApp
Jiunge nasi group la WhatsApp
image
RETINOL EYE CREAM
RETINOL EYE CREAM

RETINOL EYE CREAM

TSh 40,000.00

TSh 60,000.00

RETINOL EYE CREAM
Punguza Makunyanzi
• Imarisha Ngozi ya Macho
• Rejesha Ujana

Je, unasumbuliwa na makunyanzi, mistari midogo au ngozi kulegea chini ya macho?
Retinol Eye Cream ni suluhisho la kisasa linalosaidia kurejesha uimara, ulaini na mwonekano wa ujana kwenye ngozi nyeti ya macho.

🌿 FAIDA KUU:
✅ Hupunguza makunyanzi na fine lines
✅ Huimarisha ngozi chini ya macho (firming effect)
✅ Hupunguza madoa meusi (dark circles)
✅ Hulainisha ngozi bila kuacha mafuta
✅ Hufanya macho yaonekane changamfu, safi na yenye nuru

💎 JINSI INAVYOFANYA KAZI:
🔬 Retinol – huchochea uzalishaji wa collagen na kurekebisha mikunjo
🔬 Peptides & Collagen – huimarisha na kuongeza elasticity ya ngozi
🔬 Moisturizing Complex – hulinda ngozi dhidi ya ukavu na uchovu
🧴 NAMNA YA KUTUMIA:
• Tumia kiasi kidogo (pea size)
• Paka taratibu chini ya macho bila kukandamiza
• Tumia asubuhi na jioni kwa matokeo bora
✨ Matokeo: Macho yanayoonekana changa, laini na yenye mvuto ndani ya muda mfupi.
🚚 Tunafanya delivery nchi nzima
💬 Weka order yako na wasiliana nasi sasa uanze safari ya ngozi changa bila makunyanzi!