Jiunge nasi group la WhatsApp
image
SOY ISOFLAVONES

SOY ISOFLAVONES

TShΒ 40,000.00

TShΒ 60,000.00

🌸 Soy Isoflavones Capsules

Msaada wa Asili kwa Afya ya Homoni za Mwanamke
Soy Isoflavones ni virutubisho vya asili vinavyotokana na soya, vinavyosaidia kusawazisha homoni za mwanamke na kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla. Hufanya kazi kwa kusaidia mwili pale kiwango cha estrogen kinapobadilika, hivyo kuchangia ustawi, nguvu na utulivu wa mwanamke.

βœ… Kazi Kuu za Soy Isoflavones
1. Husaidia kusawazisha homoni za mwanamke
2. Hupunguza dalili za kukoma hedhi (menopause) kama joto jingi mwilini, jasho usiku na mabadiliko ya hisia
3. Huchangia afya ya mfumo wa uzazi
4. Husaidia wanawake wenye mpango wa
5. kushika ujauzito kwa kuimarisha mazingira ya homoni
6. Husaidia afya ya mifupa na kupunguza hatari ya mifupa kudhoofika
7. Huchangia afya ya ngozi na moyo

πŸ‘©β€πŸ¦° Inawafaa Watu Gani?
1. Wanawake waliopo au wanaokaribia kipindi cha kukoma hedhi
2. Wanawake wenye changamoto za homoni (hedhi isiyo na mpangilio, maumivu, hisia kubadilika)
3. Wanawake wenye mpango wa kushika ujauzito
4. Wanawake wanaotaka msaada wa asili wa homoni
5. Wanawake wanaojali afya ya uzazi, mifupa na ngozi
πŸ’Š Namna ya Matumizi
Meza vidonge 2 kwa siku
Tumia baada ya chakula kwa matokeo bora
Tumia mara kwa mara kama ulivyoelekezwa

⚠️ "Tahadhari Muhimu*
1. Husitumie kama una uvimbe mkubwa
2. Husitumie wakati wa hedhi
3. Ikiwa una tatizo la kiafya sugu, wasiliana na mtaalamu wa afya kabla ya matumizi
4. Hifadhi sehemu kavu, mbali na watoto

🌿 Kwa Nini Uchague Soy Isoflavones?
1. Chanzo cha asili kutoka soya
2. Salama kwa matumizi ya muda mrefu ukifuata maelekezo
3. Inamsaidia mwanamke kuwa na afya bora ya homoni na uzazi
4. Rahisi kutumia kama sehemu ya mtindo bora wa maisha