Jiunge nasi group la WhatsApp
JOINT RENEWAL CAPSULES

JOINT RENEWAL CAPSULES

TShย 45,000.00

TShย 75,000.00

๐Ÿฆด JOINT RENEWAL CAPSULES
Rudisha uhuru wa kusogea bila maumivu
Je, unasumbuliwa na maumivu ya viungo, mgongo au pingili? Joint Renewal Capsules ni kirutubisho cha kisasa kilichoundwa kusaidia kupunguza maumivu, uvimbe na kukakamaa kwa viungo, huku kikirejesha ute wa viungo kwa harakati laini na zenye uhakika.
Kikiwa na mchanganyiko wenye nguvu wa virutubisho muhimu, Joint Renewal Capsules husaidia kulinda viungo, kuimarisha mifupa na kuboresha ubora wa maisha ya kila siku.

๐ŸŒฟ INGREDIENTS ZENYE NGUVU
๐Ÿ”น Chondroitin
Husaidia kurejesha na kulinda ute wa viungo, kupunguza msuguano wa mifupa na maumivu ya arthritis.
๐Ÿ”น Omega-3
Hupunguza uvimbe wa viungo, husaidia wenye Baridi ya Bisi (Gout) na kuboresha unyumbufu wa viungo.
๐Ÿ”น Calcium
Huimarisha mifupa na pingili za mgongo, kusaidia mifupa kuwa imara na kuzuia udhaifu wa mifupa.
๐Ÿ”น Vitamin D3
Husaidia mwili kunyonya calcium vizuri, kuimarisha mifupa, misuli na afya ya viungo kwa ujumla.

๐ŸŒŸ FAIDA KUU
โœ”๏ธ Hupunguza maumivu ya viungo na mgongo
โœ”๏ธ Husaidia wenye Gout, Arthritis na Osteoarthritis
โœ”๏ธ Hurejesha ute wa viungo na kuboresha harakati
โœ”๏ธ Huimarisha mifupa na pingili za mgongo
โœ”๏ธ Hupunguza kukakamaa kwa viungo

๐Ÿ‘ฅ INAMFAA NANI?
Wenye maumivu ya viungo au mgongo
Wenye arthritis, osteoarthritis au gout
Wazee na watu wanaopata kukakamaa kwa viungo
Wanaofanya kazi nzito au michezo
Wanaotaka kulinda viungo kabla tatizo halijawa kubwa

๐Ÿ’Š UWEKEZAJI WA AFYA YA VIUNGO VYAKO
Joint Renewal Capsules si tu suluhisho la leo, bali ni msaada wa muda mrefu kwa afya ya viungo vyako.
๐Ÿ‘‰ Agiza sasa na uanze kusogea kwa uhuru na ujasiri.