Hii ni kwa Dereva wa Boda Boda na Bajaj tu
Unaweza ukalipia 80,000 yote au 40,000 kwa wiki mbili ndani ya mwezi mmoja au 20,000 kila wiki kwa wiki 4 ndani ya mwezi mmoja.
Faida utakazopata kwa mwaka Mzima
- Unapata kiinua mgongo ukipata ajali
-Pia ukipata Ajali ukavunjika au kupata kilema Cha kudumu utapata Kiinua mgongo mpaka Sh milioni 8.
-Ukilazwa kwa ajali utapewa pesa Sh 25,000 kwa siku ulizolazwa mpaka siku 30 kwa mwaka 750,000 kurejesha kipato Cha siku ulilazwa.
- Ukifariki kwa Ajali familia yako itapewa Milioni 5
- Kifo Sio Cha ajali familia itapewa Sh. Milioni 2
- Unapata Pole ya Msiba Sh milioni 1 kwa kila msiba wa
Mwenza mmoja
Watoto mpaka watoto wanne kila mmoja milioni 1
Zingatia ni Kuanzia wanachama 10