Bima Kwik 2 - Kiinua Mgongo Cha Milioni 2

Hii ni kwa Dereva wa Boda Boda na Bajaj tu   Unaweza ukalipia 30,000 yote au mara mbili 15,000 ndani ya wiki mbili    Faida utakazopata:    

  1. Unapata kiinua mgongo ukipata ajali   -Pia ukipata Ajali ukavunjika au kupata kilema Cha kudumu utapata Kiinua mgongo mpaka Sh milioni 2.   -Ukilazwa kwa ajali utapewa pesa Sh 25,000 kwa siku ulizolazwa mpaka siku 30 kwa mwaka 750,000 kurejesha kipato Cha siku ulilazwa. 
  • Ukifariki kwa Ajali familia yako itapewa Milioni 2  
  • Kifo Sio Cha ajali familia itapewa Sh. Milioni 2   
  1. Unapata Pole ya Msiba Sh milioni 1 kwa kila msiba wa   Mwenza mmoja   Watoto mpaka watoto wanne kila mmoja milioni 1     Zingatia kuanzia wanachama 10

Optional

Optional

Optional

Optional

Optional

Optional

Optional