Jali Afya yako na Familia yako kwa package hii ya Tzs 230,000
Unapata huduma za bima ya Afya kwako wewe na Wategemezi Wako wanne
-Matibabu mpaka milioni 3 ya kulazwa
-Matibabu bila kulazwa mpaka laki 4 na nusu
-Kujifungua mpaka laki 6
Unapata Pole ya Msiba Sh milioni 1 kwa kila msiba wa
Mwenza mmoja
Watoto wanne
Wazazi wawili
Wakwe wawili