Bima ya Afya na Maisha kwa Mfanyakazi mmoja na Wategemezi wake mpaka watatu. Jumla watu wanne
Inatoka Kadi za bima ya Afya na Mkono wa Pole wa Sh milioni 1 kwa kila msiba wa Mfanyakazi, Mwenza wake mmoja, watoto mpaka wanne, wazazi wawili na wakwe wawili.
Faida za Matibabu wanazoweza kupata:
- Matibabu ya Kulazwa mpaka milioni 3
- Matibabu ya Kutwa mpaka 450,000
- Hospitali 450 kila mkoa Tanzania Bara na Visiwani.
Faida kwa kila familia na idadi ya watu:
1. Mwanachama Pekee (Kutwa 300,000 na Kulazwa 2milion)
2. Mwanachama+ Mtegemezi 1 (Kutwa 350,000 na Kulazwa 2.5 milion)
3. Mwanachama+ Wategemezi 2 (Kutwa 400,000 na Kulazwa 2.75 milion)
4. Mwanachama+ Wategemezi 3 (Kutwa 450,000 na Kulazwa 3 milion)