Bima ya Ajali

Bima ya Ajali

Kwa madereva wa Bodaboda na Bajaj tu nchi nzima

Bima Ndogo analipa 24,000 kwa mwaka
Manufaa akipata ajali:
1. Akipata ajali akavunjika 100% - anapata kiinua mgongo milioni 2.
2. Akilazwa akatumia cash(pesa yake) kulipia matibabu mpaka milioni 1.5
3. Siku alizolazwa atapewa pesa ya mfukoni 25,000 kwa siku kwa muda wa siku 30 kwa mwaka
4. Akifariki kwa ajali, Familia yake itapokea mkono wa pole wa Sh. Milioni 1.
TSh 24,000.00

Optional

Optional