Kama Una duka lolote, au Biashara yoyote Unaweza kuwa sehemu ya Bima kwa Wote kwa kufikia wateja wengi zaidi na kuwapa huduma.
Tunakaribisha mawakala wote, Stationeries, maduka, salon, pharmacies β¦ kila outlet kuwa sehemu ya kusambaza bima kwa watu wengi Tanzania.
Utapata faida nyingi zaidi ya Commission za mauzo.
Kujiunga kupata mgao wa commission za mauzo
Jaza taarifa hizi tukufikie. Mwishoni Tuma WhatsApp message, utatumiwa Account yako ya Mauzo
Bima Kwa Wote INAWEZEKANA