🌱 Herbal Hair Mask (250g): Nguvu ya Amla, Fenugreek, Moringa, na Neem kusimamisha kukatika kwa nywele na kuimarisha mizizi.
🧪 Scalp Ayurvedic Oil (250mls): Mchanganyiko wa Rosemary, Lavender, na Coconut kuchochea mzunguko wa damu na kurudisha urefu haraka.
🧈 Scalp Hair Butter (250g): Siagi nzito ya asili inayofungia unyevu (moisture lock) ili kuondoa ugumu na kuacha nywele soft siku nzima.