Jiunge nasi kwenye safari ya kusisimua kwenda Chemka Hot Springs kutoka Arusha! 🌿✨
Kwa Tsh 25,000 kwa kila mtu,
Pamoja na usafiri mzuri,picha bure, Muziki mnene, ada ya kuingia, na maji ya kunywa bure.
Wasiliana na sisi leo
+255714461148
WhatsApp Group Lipoo
Watu watano na zaidi offer ya 20,000/- kwa mtu
Karibu sana