Cow & gate banana porridge 125gm (4-6m+)

Cow & gate banana porridge 125gm (4-6m+)

TSh 25,000.00

Cow & Gate Banana Porridge – 125g
Uji wenye ladha ya ndizi, unaofaa kwa watoto wa miezi 4–6+ wanaoanza weaning. Una vitamini na madini muhimu kwa ukuaji, hutoa nishati, na una texture laini inayomfaa mtoto anayeanza kula vyakula vya ziada.