Cow & gate baby rice cereal 125gm (4-6m)

Cow & gate baby rice cereal 125gm (4-6m)

TSh 25,000.00

Aptamil Baby Rice Cereal – 4–6m+
Uji wa mchele wenye texture laini, maalum kwa watoto wa miezi 4–6+ wanaoanza weaning. Ni rahisi kuandaa, hutoa nishati na virutubisho muhimu, na husaidia mtoto kuanza kuzoea vyakula vya ziada pamoja na maziwa yake.