Aptamil Multigrain Cereal – 200g
Uji wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali, maalum kwa watoto wa miezi 7+. Hutoa nishati na virutubisho muhimu kutoka kwenye nafaka, na ni chaguo zuri kwa kuongeza variety kwenye mlo wa mtoto wakati wa kuendelea na weaning.