Aptamil organic baby rice porridge 100gm

Aptamil organic baby rice porridge 100gm

TShย 25,000.00

Aptamil Organic Baby Rice ๐Ÿš
Uji laini wa mtoto uliotengenezwa kwa mchele wa organic, unaofaa kwa watoto kuanzia miezi 4โ€“6+ kama chakula cha ziada wakati wa kuanza weaning. Ni rahisi kuandaa na unaweza kuchanganywa na maziwa ya mama au formula.