Aveeno baby wash (400ml) & lotion(250ml) set

Aveeno baby wash (400ml) & lotion(250ml) set

TSh 115,000.00

Aveeno Baby Wash & Lotion ni bidhaa mbili za baby care zinazosaidia kusafisha na kulainisha ngozi ya mtoto. Zimetengenezwa kwa oat extract, inayosaidia kudumisha moisture ya ngozi na kuiacha ikiwa soft na smooth, hivyo zinafaa kwa matumizi ya kila siku.