Baby dove baby shampoo rich moisture 400ml

Baby dove baby shampoo rich moisture 400ml

TSh 40,000.00

Baby Dove Shampoo ni shampoo laini iliyotengenezwa kwa ajili ya nywele na ngozi ya kichwa ya mtoto. Husaidia kusafisha kwa upole huku ikisaidia kuhifadhi moisture ya ngozi, na ni gentle kwa matumizi ya kawaida.