Cerelac honey & wheat with milk 1kg (12-36months)

Cerelac honey & wheat with milk 1kg (12-36months)

TSh 80,000.00

Cerelac Wheat & Honey ni cereal ya watoto kuanzia miezi 12+, yenye mchanganyiko wa ngano na asali unaotoa ladha tofauti na aina nyingine za Cerelac. Ni chaguo rahisi kwa kuongeza variety kwenye mlo wa mtoto katika hatua hii ya ukuaji.