Infacol simeticone

Infacol simeticone

TSh 50,000.00

Infacol Simeticone ni dawa inayotumika kwa watoto kusaidia kupunguza gesi tumboni (wind) na hali ya mtoto kujisikia vibaya kutokana na hewa iliyokwama tumboni. Ina kiungo cha simeticone, ambacho husaidia kuvunja na kuunganisha mapovu ya gesi tumboni ili yawe rahisi kutoka.