Cantu for Kids Curl Refresher ni spray iliyotengenezwa kwa ajili ya ku-refresh na ku-revive curls za watoto kati ya siku za kuosha nywele. Husaidia kuongeza moisture, kupunguza ukavu na kufanya curls zirudi kuwa soft, defined na manageable bila kuhitaji kuosha nywele upya.