Cantu for Kids Curling Cream ni cream iliyotengenezwa kwa ajili ya nywele za watoto, yenye shea butter inayosaidia kuongeza moisture huku ikisaidia kufafanua na ku-maintain curls. Hufanya curls ziwe soft, defined na zionekane vizuri bila kuzifanya nywele zikauke.