Cantu for kids conditioning detangler (177ml(

Cantu for kids conditioning detangler (177ml(

TSh 40,000.00

Cantu for Kids Conditioning Detangler imekusudiwa zaidi kufungua mafundo (tangles) na kurahisisha kuchana. Inaweza kutumika kwenye nywele zenye mafundo ili kuzifanya ziwe manageable zaidi.