Cantu for kids nourishing conditioner (237ml)

Cantu for kids nourishing conditioner (237ml)

TSh 35,000.00

Cantu for Kids Nourishing Conditioner ni conditioner iliyotengenezwa kwa ajili ya nywele za watoto, ikiwa na shea butter inayosaidia kulainisha na kuongeza moisture kwenye nywele. Husaidia kufanya nywele ziwe soft, easy to detangle na rahisi kuchana, huku ikisaidia kuzitunza zisikauke. Cantu for Kids Nourishing Conditioner hutumika baada ya shampoo wakati wa kuosha nywele.