Cantu kids nourishing shampoo (237ml)

Cantu kids nourishing shampoo (237ml)

TSh 35,000.00

Cantu for Kids Nourishing Shampoo ni shampoo iliyotengenezwa kwa ajili ya nywele za watoto, ikiwa na shea butter inayosaidia kusafisha nywele huku zikibaki soft na moisturized. Husaidia pia kurahisisha combing na detangling, na ni chaguo zuri kwa nywele zinazohitaji moisture zaidi.