Momeasy Manual Breast Pump ni breast pump ya mkono iliyo rahisi kutumia kwa ajili ya kukamua maziwa ya mama. Inakuja na bonus bottle ambayo mama anaweza kuitumia moja kwa moja kumlishia mtoto baada ya kukamua au kuitumia kama storage bottle kwa ajili ya kuhifadhi maziwa ya mama.