Algo silicone bottle 150mls

Algo silicone bottle 150mls

TSh 20,000.00

Algo Silicone Baby Bottle ni chupa ya kulishia mtoto iliyotengenezwa kwa silicone laini na flexible, inayokuwa comfortable kushika na rahisi kutumia wakati wa kulisha. Ni BPA free na imetengenezwa kwa material inayodumu na ni rahisi kusafisha.