Baby Foldable Play Mat ni mkeka wa kuchezea wenye sponge cushioning unaompa mtoto sehemu laini na comfortable ya kuchezea. Ni waterproof, ni rahisi kusafisha, na unaweza kuukunja kwa urahisi na kuubeba popote, hivyo ni convenient kwa matumizi ya nyumbani na safarini.