Lansinoh NaturalWave Teats Small Flow ni replacement teats zilizotengenezwa kwa watoto kuanzia kuzaliwa (0m+), zikiwa na Small Flow inayotoa maziwa kwa mtiririko mdogo unaofaa mtoto mchanga. Zimetengenezwa kwa silicone laini na zinaendana na Lansinoh Feeding Bottles.