Lansinoh disposable breast pads (100pcs)

Lansinoh disposable breast pads (100pcs)

TSh 65,000.00

Lansinoh Disposable Breast Pads ni breast pads za matumizi ya mara moja zinazosaidia kunyonya maziwa yanayovuja na kuweka mama na nguo zake kavu. Zina muundo mwembamba unaokaa vizuri kwenye bra na adhesive strips zinazosaidia pad kubaki mahali pake.