Lansinoh lanolin nipple cream

Lansinoh lanolin nipple cream

TSh 60,000.00

Lansinoh Lanolin Nipple Cream ni cream yenye 100% natural HPA lanolin inayosaidia kutuliza na kulinda chuchu zilizo na ukavu au maumivu wakati wa kunyonyesha. Ni fragrance-free na hypoallergenic, na inaweza kutumika kabla na baada ya kunyonyesha bila kuhitaji kuoshwa. Ina 40ml.