Lansinoh breastmilk storage bags (50pcs)

Lansinoh breastmilk storage bags (50pcs)

TSh 55,000.00

Lansinoh Breastmilk Storage Bags ni mifuko maalum ya kuhifadhia maziwa ya mama, kila mmoja ukiwa na uwezo wa 180ml. Ni BPA & BPS free na pre-sterilized, hivyo iko tayari kutumika kuhifadhi maziwa ya mama kwa usalama na usafi. Ina double zipper seal inayosaidia kuzuia maziwa kuvuja, na pakiti ina 50pcs.