Lansinoh extra teats fast flow (2pcs)

Lansinoh extra teats fast flow (2pcs)

TSh 35,000.00

Lansinoh NaturalWave Teats Fast Flow ni replacement teats zilizotengenezwa kwa watoto wenye umri wa miezi 6+, zikiwa na Fast Flow inayoruhusu maziwa kutoka kwa kasi zaidi kulingana na mahitaji ya mtoto katika hatua hii. Zimetengenezwa kwa silicone laini na zinaendana na Lansinoh Feeding Bottles.