Lansinoh extra teats Medium flow (2pcs)

Lansinoh extra teats Medium flow (2pcs)

TSh 35,000.00

Lansinoh NaturalWave Teats Medium Flow ni replacement teats zilizotengenezwa kwa watoto wenye umri wa miezi 3+, zikiwa na Medium Flow inayowezesha maziwa kutoka kwa kasi inayofaa mtoto katika hatua hii. Zimetengenezwa kwa silicone laini na zinaendana na Lansinoh Feeding Bottles.